Twitter Facebook Feed

```_MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO.```

```_MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO.```


Leo nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya *mwanamke_* kuwa mgumba au anaelekea kwenye ugumba(kukosa kupata mtoto).

1.KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA
usione ni kawaida kwa Siku zako kutokuwa na mzunguko wa kawaida ambao Mara nyingi ni Siku 21 mpaka 28.
Kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kuwa hupevushi mayai kila mwezi.Hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi na siyo ili mradi yai bali yai bora linaloweza kurutubishwa.

2.KUACHA KUONA SIKU ZAKO GHAFLA.
.
Kama hujafika menopause(kipindimwanamke anapokoma kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio mjamzito hutumii njia ya *uzazi wa mpango zinazosababisha* kubadilika kwa hedhi.
.
Ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo huwezi kubeba ujauzito bila kupevusha mayai.
.
3.KUTOKWA DAMU NYINGI, NZITO NA YENYE MABONGE KAMA VIPANDE VYA MAINI(VINYAMA NYAMA) WAKATI WA HEDHI HUASHIRIA KUWA HORMONE HAZIJABALANCE
kutobalance kwa hormone huvuruga uzalishaji wa mayai bora.
.
4.MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA YANAYOAMBATA NA UCHAFU MWEUPE MZITO KAMA MAZIWA YA MGANDO AMBAYO HUASHIRIA KUNA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WAMWANAMKE.
.
5.KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MAUMIVU CHINI YA KITOVU.
.
6.KUKOSA KABISA HAMU YA TENDO PIA KUSIKIA DALILI ZOTE ZA UJAUZITO IKIWA SIO MJAMZITO HUONYESHA KUNA INFECTIONS KATIKA KIZAZI
.
.Hizo ni baadhi ya dalili mbaya kwa mwanamke ambaye bado hajawahi kubeba ujauzito,Ni dalili mbaya Pia kwa mwanamke ambaye Tayari ana Motto/watoto,ni muhimu sana kupata suluhisho LA changamoto hizo maana zinatibika kabisa na UNAPATA SULUHISHO LA KUDUMU KABISA NA KURUDISHA TABASAMU KATIKA FAMILIA YAKO.

Dr Hamza

0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 coll SMS

Tanga Pangani Tanzania

0 comments:

Post a Comment