ZIJUE DAWA MBALIMBALI ZA MARADHI YANAYOTUSUMBUA
KUTOA UCHAWI TUMBONI
ikiwa unasumbuliwa na uchawi ambao upo tumboni mwako ima uwe umelishwa na wachawi usingizini au katika hali yoyote ile tumia dawa hizi zitakusaidia kuuondoa uchawi huo
~chemsha mizizi ya mgomba aina ya mpukusa
~tumia maji ya bahari yenye kupwa
~kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara3 siku 3 mpaka 7
KIFUA SUGU KWA MUDA MREFU
~Twanga majani ya mkwaju na uyakamue maji yake upate ya kutosha
~tia kwenye kikombe cha kahawa na weka vijiko3 vya asali
~kunywa kutwa mara 3 kwa wiki3 kama bado utaongeza muda wa dozi
MAUMIVU YA MISULI
~upate uzile,karafuu na mdalasini
~twanga pamoja viwe unga
~tia kijiko kidogo kwenye chai
~kunywa kutwa mara2 siku 5 mpaka 7
DAMU YA HEDHI ISIYOKOMA
~chemsha mizizi ya mbaazi na ndimu3,unazipasua na unachemsha pamoja
~hakikisha inachemka vizuri
~kunywa nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa week 1
MASKIO YANAYOTOKA USAHA
~mafuta ya nazi na gamba la ngisi
~chemsha pamoja na hakikisha inachemka vizuri na acha yapoe
~tia tone moja kwenye sikio kutwa mara 3 kwa siku 7
KUHISI MAUMIVU WAKATI WA KUKOJOA
~chukua mzizi wa mbuyu kata vipande 7
~chemsha na ubani maka punje7
~kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara3 siku 7

PUMZI KUBANA,MAUMIVU YA KICHWA NA TUMBO
~chemsha mizizi ya mjaafari pamoja na ndimu 7 uzipasue
~kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara 3 siku 7
dawa nyingine
~mpande na karafuu
chemsha pamoja kunywa kipimo hichohicho
HOMA KALI KWA WATOTO NA KUWEWESEKA USIKU
~tafuta mzizi wa mbaazi uliofikisha miaka miwili
~wakati wa kuchimba elekea kibla
~chemsha na pilipili manga
anywe kikombe cha kahawa na apakwe mwilini asubuhi na jioni,ikiwa hajafikisha miaka 3 atumie kijiko kdg
KUZUIA KUTAPIKA
~majani ya mdimu mkali unachemsha kisha unakunywa kikombe cha chai kutwa mara3
VIDONDA SEHEMU NYETI
~twanga mizizi ya mkomamanga na mizizi ya mkungu iwe mikavu
~safisha vidonda na nyunyiza huo unga
~kila siku mara 2mpk vipone
VIDONDA VISIVYOPONA AU DONDA NDUGU
~safisha kidonda vizuri kwa kutumia mchanganyiko wa dawa hizi kivumbasi,ndimu na chumvi huku unasoma LII LAAFI QURAISH
~kisha chukua magome ya mkwaju yatwange yawe laini bandika kwenye kidonda kutwa mara 2
UKIWA WASUMBULIWA NA UCHAWI NA MAJIN AU MÀRADHI MAKUBWA KARIBU
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll SMS
Tanga pangan Tanzania
0 comments:
Post a Comment