Twitter Facebook Feed

JINI MAHABA NI NINI

Mtambue mtu mwenye Jini Mahaba kwa njia hizi

Maisha ya mwanadamu yamezungukwa na misukosuko na mitihani mbalimbali ambayo wakati mwingine humfanya ajione tofauti na kujiona mwenye kukosa thamani ya maisha,

miongoni mwa matatizo ambayo huyapata wengi katika ulimwengu tulionao ni tatizo la jini mahaba nalo huwapa watu wengi fadhaiko na kukosa amani na raha ya maisha

JINI MAHABA NI NINI?

Jini mahaba ni jini {pepo,shetani} yeyote alie muingia mwanaadamu kwa lengo la kufanya nae uchafu wa zinaa.
VIPI ANAWEZA KUMUINGIA MTU?
Jini mahaba huwaingia watu kwa sababu nyingi miongoni mwazo nikulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto
2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi
3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama wakiwa uchi
4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua {hii hupelekea kuingiwahasa na majini aina ya ghawwaas]
5.kutupiwa na wachawi{mchawi huweza kumuita shetani kichawi na akafanya nae makubaliano na kufunga mkataba kisha akatumwa shetani akuingie }
6. kuingia chooni bila dua {vyooni kuna majini aina na khubuth na khabaaith hivyo anaeingia bila ya dua anaweza kukumbwa na majini hawa na watuwengi wanaoanguka chooni huwa ni kwa kuangushwa na aina hii ya majini}
DALILI ZAKE
majini mahaba huwa na dalili nyingi na hutofautiana kutegemeana na aina ya jini alie kuingia
1. ndoto za kufanya jimai mara kwa mara hasa na mtu unae muheshimu km kaka dada mama baba nk {si kila ndoto ya kufanya mapenzi ni dalili ya jini wakati mwingine ndoto ya kuota unafanya jimai hadi kufikia mshindohutafsiriwa kama kupata wepesi na mafanikio katika mambo ya muotaji
2. kuharibika ujauzito bila sababu za kidaktari
3. kuchukia tendo la ndoa kuoa au kuolewa na hata kumchukia mwenza wako akiwa karibu nawe na hujihisi kumpenda sana akiwa mbali
4.ndoto za kuota unazaa kunyonyesha au kulea mtoto
5. mwanamama kuvurugikiwa siku za hedhi
6.maumivu makali chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa au hedhi[hili husababishwa pia na vitu mbali mbali km mgoro na baadhi ya bakteria wanao shambulia viungo vya uzazi
7. kutosikia hamu ya tendo la ndoa bila sababu za kidaktari
8. ujauzito kutoweka baadhi ya nyakati na mjamzito kuhisi km hana kabisa ujauzito
9. kupenda sana maasi na kuchukia dhikri na ibada
10. mipango kuharibika bila sababu za msingi
11. kutokuwa na nguvu za kijinsia bila sababu za kidaktari
12. kujihisi umeonewa hadi unafikia kulia bila sababu
13. moyo kwenda mbio bila sababu za kidaktari
14. kifua kuwa kizito km umebeba mzigo au kichwa
15.kuota ndoto za kweli wakati sio mchamungu
16.ndoto za kukimbizwa na wanyama wakali km simba nyoka chui nk
17.kupiga kelele bila sababu na unashindwa kujizuia
hizi ni baadhi tu ya dalili zipo nyingi sana

MADHARA YAKE
jini huyu anapomuingia mwanadamu huweza kumpatia madhara yafuatayo
1.kuchukia kuoa au kuolewa
2.kuchukia watu wa jinsia tofauti
3. kutopata mtoto
4. kuvurugikiwa mambo yake bila sababu za msingi
5. gundu [an kis]
6kuchukiwa bila sababu n.k

TIBA YAKE

Ni lazima jin uyu atolewe mzimun kwa shakizi ya majin na visomo vizito vya kumsindikiza salata jin kisha 
Chukua dawa zifuatazo
1. manemane mruturutu kiberiti upele na karafuu maiti changanya ujazo sawa atumie kujifukiza asubuhi na jioni
2. chukua mafuta ya mkunazi zaituni habatisaudaa, ndimu na kitunguu swaumu ujazo sawa ila zaituni yatakiwa kuwa mara mbili ya ujazo wa mafuta mengine weka miski ya unga kijiko kimoja cha chakula tumia kujipaka asubuhi na muda wa kulala siku 21 au wasiliana nami Dr Hamza

Kama dalili izo unazo njoo inbox ntakusaidia au nipigie sm .

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment