Dawa ya kusafisha mwili/ kutoa nuksi na kukufanya upendwe na kila mtu hata anayekuchukia
Chukua mjafari wa unga
Hina ya unga
Magadi ya kupikia mlenda
Machicha ya Nazi yasiyokamuliwa(kuna Nazi kisha changanya na Dawa hizo)
Kisha kamulia ndimu mpaka uone Dawa yako imekuwa uji uji au unaweza usitumie ndimu chukua marashi rose korogea mpaka uone Dawa imekuwa ujiuji
Dawa hii inatumika usku tu
Chukua kitambaa cheupe
Kitandike chini ilihali upo uchi
Chukua Dawa yako jisugue na ile Dawa kama unajiscrub jisugue mwili mzima uchafu ule uangukie pale kwenye kitambaa
Ukimaliza uchafu ukusanye vizuri kisha chukua unga wa sembe changanya na ule uchafu kawatupie kuku wale(lengo LA kuku kula ni I'll usije kuokotwa maana ukiokotwa uchafu huo unaweza kutumika vibaya na wewe ukaugua sana au kufa kabisa
Utafanya zoezi hili kwa muda wa wiki nzima utaona ajabu utakumbukwa na walokusahau utathaminiwa utaonekana utavutia na utapendwa(kama unajini mchafu itakuwa kinyume chake)
Mjafari unapatikana maduka ya Dawa za asili ni mchungu una rangi kama njano iliyokolea kuelekea kahawia
Nazi inapatikana magengeni au sokoni
Unga sembe madukani
Kitambaa kwa funding cherehani
Kuku wapo mitaani
Magadi madukani
Imebidi niandike hivyo maana kuna mtu ataniuliza nazi ndo nini? Inapatikana wapi? Kuku wasipokula je?
Kuku wasipokula adui yako ataviokota na kwenda kuvifanyia kazi zingine.
wasiliana nami kwa tiba na ushauri
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga pangan Tanzania
0 comments:
Post a Comment