Twitter Facebook Feed

DALILI ZA MWENYE MAJINI

ASAALAM ALEYKUM

DALILI KUU ZA MTU KUWA NA MAJINI MWILINI MWAKE IMA WABAYA AU WAZURI

AU MTU ALIEROGWA.

Hizi ni dalili ambazo mtu ukiwa nazo basi inawezekana ukawa na tatizo la kuwa na majini mwilini mwako au uchawi majini ni viumbe walioumbwa na mwenyezi mungu kama tulivyoumbwa sisi wanadamu lakini wapo wazuri na wabaya na wapo wacha mungu na wapo waasi majini walumbwa nasi wnadamu ili tumuabudu
yeye mwenyezi mungu.

Napia wapo majin wa kutengeneza na matalasim 

majini wapo wengi kwa idadi kuliko sisi wanadamu nao ni viumbe wa mwanzo kuumbwa kabla yetu vitabu vyote vinasema hivyo kwa mujibu wa maandiko leo nazungumzia dalili hizo kwa uchache tu unaweza kukwama mambo yako ysiende vizuri kila ufanyalo haliwi kukosa amani kuwa na dhiki ya nafsi kukosa furaha kuharibikiwa kila ufanyacho kuumwa umwa mara kwa mara kupatwa na vikeazo pingamizi.

ugumu na uzito kwa kila ufanycho kushindwa kufikia malengo yako kutopata misaada kukosa ajira hata kama unazo sifa na sababu za kuajiriwa lakini unakosa kutopata kazi kukosa mvuto muonekano kutokubalika kukosa mume au mke.

hata kama unazo sifa za kuolewa au kuooa kubaki ulivyo miaka nenda miaka rudi kutodumu katika mahusiano au ndoa kuachwa achwa na kuwa na mahusiano na wanaume wengi au wanawake wengi kukosa hadhi au thamani hata kama una haki ya kuwa na hadhi.

kudharaulika kutoheshimika na kukwama kila ufanyacho kuishia kati kutofikia mwisho ukipata pesa haikai ukiahidiwa haiwi na kuvurugikiwa na mambo yako mara kwa mara kupatwa na matatizo mfululizo kukosa hamu ya tendo la au kupenda sana kufanya ngono.

kukosa nguvu za kiume kuchoka haraka kutopenda wanaume kupenda harufu nzuri sana kuumwa kichwa upande mmoja kuhisia kitu kikatokea au kuota ndoto ikatokea kama ulivyoota kuogopa watu kuwa na khofu mara kwa mara.

kuwa na wasiwasi kutetemeka mwili au kuhisi kutambaliwa na vidudu kama nyenyere kusisimkwa mwili kuchoka choka bila kufanya kazi ngumu kuwa mvivu kukosa usingizi kuota unapaa angani kuota maiti au unazika.

kuota unazaa au unafanya mapenzi kwa raha zote na mtu unaemjua au usie mjua kuota unalea mtoto au unazaa kuota unafukuzwa na watu au wanyama kuota vita au wanajeshi au unapigana kuota majoka kuota simba au wanyama wakali mara kwa mara kuota harusi unaoa au unaolewa.

kuota unachezeana kimapenzi na mwanaume au mwanamke au mpo wa jinsia moja kuchukia kufanya tendo la ndoa kufika kileleni mapema na kukosa kila utakalo kwa wakati kusikia sauti kama unaitwa kwa mbaali kusikia harufu nzuri kama ya manukato kuhisi kama umepitiwa na upepo ghafla au umepishana na mtu macho kuwa giza ghfla na kisha kurudi kama yalivyo kwenda mbali.

kihisia kupatwa na ganzi baadhi ya viungo na kutoweka mwili kuwa mara joto kama unaunguzwa mara baridi kali sana hata kama ulipo panajoto kusemasema peke yako midomo kucheza cheza au meno kusagana sagana

kuota bahari unaogelea au unavuka bahari au mto mkubwa kuota unamiliki mali au vitu vya thamani kama dhahabu almasi madini majumba ya kifakhari magri na vitu mbalimbali hata kama wewe huna zote ni dalili za kuwa na hao majini.

majini wapo wengi wazuri pia huweza kuwa kikwazo na msaada lakini wabaya nao huwa ni hatari na pingamizi na wapo wakutumwa kwa kukusudiwa wapo ambao anaweza kukukumba tu maishani mwako.

au umempata kutokana na mtu mwingine anae kuhusu wapo wakuzaliwa toka ukiwa mdogo wananguvu sana na unaweza usipate mume maisha hata kama mzuri zaidi ya cliopatra na pia unaweza kutopata mtoto

au kutoshika mimba kabisa au ukishika zikawa zinatoka tu unaweza kwenda kila hospitali na ikaonekana upo uwezo wa kuzaa mayai yapo safi njia mirija vyote havina tatizo lakini ukakosa kupata ujauzito sababu zikawa majini

na pia wapo majini usababisha mara ukakutwa na uvimbe tumboni mara mirija kuziba lakini ukafanyiwa upasuaji au tiba husika bado tatizo likawepo na ukakosa kuzaa au kushika mimba majini ni viumbe wenye nguvu na usumbua sana jamii pia usababisha majanga nuksi mikosi mabalaa vifungo

na hata kuharibu muelekeo wa mtu kimaisha majini ni viumbe hatari sana wapo majini mahaba majini makata subiani majini vifungo majini wa nuksi na mikosi wapo majini wa kichawi majini wa asili majini miizimu majini wa kisasi majin 

Dr Hamza 
0654729438 WhatsApp coll,SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment