Twitter Facebook Feed

ATHARI ZA JINNI SUBIANI KWA MTOTO NA JINSI YA KUMTIBU

ATHARI ZA JINNI SUBIANI KWA MTOTO NA JINSI YA KUMTIBU

Asalaam aleykum

LEO TUTAZUNGUMZIA ATHARI ZA JINI HUYU MSHENZI SANA NA MKOROFI MWENYE VURUGU NYINGI PINDI ANAPOPANDA KICHWANI MWA MGONJWA[KITI WAKE]

                              
                                   SUBIANI

~Miongoni mwa majini wabaya kabisa na wenye kusumbua waganga wengi ni huyu SUBIANI na kama mtaalam huyo uwezo wake ni mdogo basi hawez kumtoa jini huyu mwilini mwa mgonjwa.

~katika majini wanaopenda sana kuwasumbua watoto basi huyu SUBIANI anaongoza kwani ana tabia ya kuingia kwenye utosi wa mtoto mdogo na kutembea ndani ya mishipa yake ya damu  na kusababisha joto la mwili wa mtoto kupanda
 hadi kufikia 52centigred na hapo ndiyo athari zinatokea kwa mtoto 

~mtoto hukauka mwili mzima na wakati mwingine hujikuta akianguka ovyo na kupoteza fahamu ghafla tuu na pia macho hupanda juu.

~pia jini huyu anapomvaa mtoto athari nyingine anazosababisha ni kumnyonya damu mtoto huyu hivyo katika hali hiyo hunyonya vitamin zote zinazotakiwa kutumika kwenye mwili wa mtoto na hapo mtoto afya yake huwa mbovu,kukonda na pia hupenda kusababisha macho ya mtoto kuwa mekundu au njano,kuvimba tumbo na kulegea viungo vya mtoto huyo.


DALILI ZA MTOTO ALIYEVAMIWA NA JINI HUYU

~Kupanda kwa homa kali mara kwa mara na kusababisha bacteria kwenye mkojo wa mtoto


~mtoto kuvimba tumbo na kuharisha mara kwa mara katika siku


~kupatwa na degedege,macho kubadilika na kuwa ya njano na afya kuwa dhaifu 


~Humfanya mtoto awe kama bwege hapendi wageni 

~kupenda kukaa peke yake na kulala hovyo hata mchana
 jua kali.

~pia husababisha mtoto kuwa jeuri na kupenda sana ugomvi.



TIBA YA MTOTO ALIYEKUMBWA NA 

                JINNI SUBIANI

~Mtoto aliyekumbwa na jini huyu anatakiwa

 afanyiwe ruqya na mtu mwenye sifa hizo kwa 

muda usiopungua siku7 mfululizo au zaidi 

kutwa mara2


kisha mfukize dawa zifuatazo

1.hiliki 

2.miatu saila  

3.kibiriti upele

4.maqli 
azlaq

dawa hizi zisagwe ziwe unga na utamfukiza 

asubuhi na usiku



DAWA ZA KUNYWA 

1.haltiiti vijiko10 

2.kuzbara vijiko10

3.ubani mweupe kiganja1

4.halilinji vijiko5

5.habbatsauda vijiko10

6.alqisus vijiko5

7.asali chupa1

changanya vizuri chemsha zichemke sana na mpe mtoto anywe vijiko3 kutwa mara2 kwa siku21


kwa tiba na ushauri wasilia nami kwa 
Dr Hamza 
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment