Twitter Facebook Feed

TIBA YA MWANAMKE ANAETOKWA NA DAMU YA EDHI MFULULIZO BILA KUACHA

Asalaam aleykum 
Ndugu zangu leo nafundisha tiba ya mwanamke alietegewa tego au  alierogwa au kuathiriwa na jin mbaya na kumfanya atokwe na Hedhi mfululizo bila kuacha

Utachemsha dawa izi kisha utachuja na kunywa..

1) msharifu mizizi mibich
2) mjafari --
3) mkunde kunde--
4) msaka uchawi--
5) msosowana--
6) mpingo --

Dawa zote apo juu ziwe za mizizi mibich..

Kisha utampa dawa izi APA za unga atie ktk uji
1) mkunju wa unga
2) mjafari--
3) luswambo--
4) mkumbi --
5) mjavikali--
Akikisha dawa zote za unga.
Inshaaa alhaaa atapona na dam itaacha na kurudi ktk utaratibu wa hedh ya kawaida 

Ukiwa wasumbuliwa na maradh uchawi na majin onana na

Dr Hamza
0654729438 coll,SMS WhatsApp
0655729439 coll,SMS WhatsApp
0746025804 coll,SMS
Tanga Tanzania

0 comments:

Post a Comment