Ndugu zangu tiba hii inausisha aina zote za Bawasili Nazi ni:.
1) Bawasili inayotembea yani inayotoka na kurud.
2) Bawasili iliyosimama yani kinyama kinachoota ktk njia ya aja kubwa.
Tiba ya Bawasili zote izi
1) Kitunguu thoum vijiko 3 vya chakula
2) Asali nusu Lita
3) Tangawizi vijiko 3 vya chakula
4) Figili vijiko 3 vya chakula
Akikisha Dawa zote ni za unga.
Matumizi
Changanya dawa zote ktk asali kisha tumia kijiko kimoja kikubwa kwa kulamba kutwa Mara 3 yani 1×3 kwa siku 7-11 saba adi kumi na moja utapona kwa idhin ya Alhaa
Dr Hamza
0654729438 coll,SMS WhatsApp
0746025804 coll,SMS
Tanga Tanzania
0 comments:
Post a Comment