Twitter Facebook Feed

DAWA YA KUWAONA WACHAWI



JINSI YA KUTENGENEZA MVUTO.
chukua muhogo mtamu ule kama 5 na utembee nayo ukikutana na mtu akakuomba MPEE,utafanya hivyo mpaka utakapo bakiwa na muhigo mmoja ,utarudi nao mpaka home na uumenye vizuri (fanya ujanja wako ili miogo iishe sawa yaan yote 4 uumalize kugawa kwa watu MAana kuna watu wataniuliza sasa kama sijaombwa jee itakuwaje )
Na Uusage ule muhogo uwanike na usage tena upate unga
   BAda ya hapo sasa utachukua vitu vifuatavyo kwa ajiri ya kuchanganya na dawa ako :

   1SUKARI NYEUPE(Sukali mawe twanga).
2PESA YA KUOMBA (pesa ya karatasi isage au ichome).
3SIMBI saba ZA BAHARINI (vikono kono bahari vile )
4NYANGE NYANGE(mmeremeto bahari)
5MISIK YA UNGA NYEUPE.

changanya vyote kwa pamoja utatumia dawa hii kwa KUOGA,DEKIA,KUPAKAA dawa hii inaitwa MUHEE yaan maana yake MPEE.

KWAUJUMLA MTI HUU UNAKAZI NYINGI SANA NA MAJAABU MAKUBWA SANA IKIWEMO KUMGANDISHA MCHAWI ,PIA KUZUIA MTU KUCHUKULIWA MSIKULE.

UKITAKA KUWAONA WACHAWI (hii ni hatari kama hauna kinga ya kutosha mwilini)

jua kabisa jambo hili ni hayari lakin ni zuri sana kama utalifanya kwa hakii basi fanya yafuatayo,chukua mhogo aina ya kisamvu mpira(muhogo mpira) majani yake oamoja na majani ya mbaazi twanga kwa 
Pamoja kisha kamua maji yake unawe usoni hakika utaona ajabuu ,.

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0746025804 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga Pangan Tanzania

0 comments:

Post a Comment