Twitter Facebook Feed

SIRI YA MBAAZI KWA MWANAWAKE


Asalaam alleikhu wapenzi  wasomaji wa blogu yangu matumaini yetu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri. .

Tukirudi kwenye mada husika ambayo inahusu siri zilizopo kwenye mmea aina ya mbaazi katika kuimarisha afya ya binadamu hasa kwa wanawake ambao huenda kwa bahati mbaya wamejikuta wakipoteza usichana wao.

Mbaazi ni moja ya dawa za mitishamba zinazotibu mambo mengi ikiwemo kurudisha bikra ya msichana endapo majani yake yatatumika na kuandaliwa vyema. Tuwe makini katika kufuata njia za kuandaa dawa yetu.

MAANDALIZI YA KUANDAA MAJANI YA MBAAZI
Chukua majani ya mbaazi kisha yatwange
Weka maji kidogo vaa kama pedi kwa muda wa wiki utaona mabadiliko
FAIDA ZA KUTUMIA MAJANI YA MBAAZI

Kukausha uke
Kuondoa majimaji ukeni
Kuongeza joto ukeni wakati wa jimai
Kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Husogeza kizazi karibu
Kusafisha kuta za uke
NB : Mbaazi ni mti wenye maajabu makubwa kuanzia Mizizi yake mpaka majani na ndio mti unaoaminika una uwezo wa kuonesha wachawi.

Kwa masuala yanayohusu tiba za asili za kurudisha uke, kubana na kuondoa majimaji wasiliana na 

Dr Hamza
0654729438 WhatsApp
0655729439 WhatsApp
0746025804 coll,SMS
Tanga Tanzania

 

0 comments:

Post a Comment