Twitter Facebook Feed

TIBA YA HOMA YA MALARIA

Asalaam aleykum
Ukiumwa na homa ya malaria usiangaike chukuwa majan ya mchunga kiasi cha mafumba mawili ya mikono yaan (viganja vya mikono ) kisha chemsha kwa maji Lita moja na nusu adi yabaki Lita moja kisha kunywa glass moja asubui moja jion utapona maralia sugu.
Dr Hamza
0654729438
0746025804
0655729439 WhatsApp tuh.

0 comments:

Post a Comment