Twitter Facebook Feed

DAWA YA KUONDOA MAUMIVU WAKATI WA KUTOKWA NA HEDHI

Asalaam aleykum

Ili mtu asipate maumivu makali wakat wa kutokwa na damu ya Hedhi inampasa achukue majan ya mti wa mparachichi kiasi cha kiganja cha mkono kisha achukue maji Lita moja na nusu achemshe adi ifike lita moja anywe kikombe  kimoja asubui na jion maumivu yataacha inshaaa Alhaa.
 majani ya mparachichi yakiwa ktk sufuria
majan ya mparachichi yakiwa ktk mti wake
maji ya majani ya mparachichi yakiwa tear kwa kunywa.

Ukiwa wasumbuliwa na uchawi na majin au tatizo lolote karibu 

Dr Hamza
0654729438
0746025804
0655729439 WhatsApp tuh.

0 comments:

Post a Comment