Twitter Facebook Feed

DAWA YA KIKOJOZI

Mti wa mahindi ni DAWA ya kutibu magonjwa mbali mbali napia ni tiba ya kikojozi.
Ili mtoto aache kukojowa kitandan chukuwa ndevu za maindi utazichemsha na umnyweshe mtoto kikojozi kikombe kimoja kutwa Mara 3 kwa siku 3 atapona

Dr Hamza
0654729438
0746025804
0655729439 WhatsApp tuh.
Tanga,Tanzania

0 comments:

Post a Comment