TIBA YA TETEKUWANGA
Ugonjwa wa tetekuwanga husababishwa na vijidudu vidogo sana aina ya vijasumu. huanza wiki 2 hadi 3 baada ya mtoto kukaa na mtoto mwingine ambaye tayari anao ugonjwa huu.
Kwanza kabisa, madoadoa au vipele vidogo sana vyekundu na ambavyo huwasha, huanza kutokea.
Hivi, hubadilika na kuwa malengelenge na mwishowe, kufanya ganga vyote kwa wakati mmoja.
Kawaida huanza kwenye mwili na baadaye hutokea kwenye uso, mikono na miguu.
Kunaweza kukawa na vipele, malengelenge, na ganga vyote kwa wakati mmoja. Kwa kawaida homa ni kidogo tu.
Tiba:
Ugonjwa hupona baada ya wiki moja. Ukoge kila siku kwa sabuni na maji ya uvuguvugu ili kupunguza kuwasha. Tumia nguo baridi zilizoloweshwa kwenye maji yaliyotokana na shayiri iliyochemshwa na kukamuliwa.
Kata kucha za mikono ziwe fupi kabisa. Kama ganga zinapata ugonjwa, paka gentia violet (g.v) au mafuta ya kuua vijidudu.
Utatuzi wa kiasili wa tetekuwanga ni pamoja na maji ya pea, magadi ya kuoka , mafuta ya vitamini E , asali, chai mitishamba au karoti na korianda. Inaaminika kwamba muwasho wa ngozi unaweza kupunguzwa kwa
kiwango fulani kwa maji ambayo yametumika kupikia mbaazi mabichi. Losheni inayotengenezwa kwa magadi ya kuoka na maji weka kwenye ngozi za wagonjwa kwa sponji ili kupunguza mwasho. Pia, kupaka
mafuta ya vitamini E au asali kwa ngozi.
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll SMS
0655729439 WhatsApp coll SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga pangan Tanzania
0 comments:
Post a Comment