JINSI YA KUONDOA MATATIZO YA KUNUKA KIKWAPA
Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo hili husababishwa na bakteria wanaovutiwa na unyevunyevu chini ya kwapa unaosababishwa na jasho au kuwa na manywele mengi sehemu hizo pasipo kunyoa.
Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu mbaya inayokuwa kero kwake na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yake.
Basi kama na wewe ni mmojawapo kati ya watu wanaosumbuliwa na matatizo haya ya kunuka kikwapa tumia dawa hizi hali hiyo itakuondokea
~habbat sawda
~habbat sufaa
~sandali
hakikisha dawa zote ziwe za unga,unaweza pia kuzisaga ili ziwe unga
pima vijiko viwili vikubwa kwa kila dawa
changanya pamoja na ukamulie ndimu 3 na utie mchanganyiko huo kwenye mafuta ya zaituni kiasi cha ml250
utatumia dawa hyo kwa kujisugulia kwapani kwa kutumia pamba asubuhi na jioni kila unapotoka kuoga kwa muda wa wiki 2
Dr Hamza
0654729438 WhatsApp coll,SMS.
0655729439 WhatsApp coll,SMS
0746025804 coll,SMS
Tanga Tanzania
0 comments:
Post a Comment